Have a sustainable water well and storage dam with value for money

Watumishi wa Ddca wahimizwa kufuata maadili ya Utumishi wa Umma

Posted on: March 23rd, 2017

Watumishi wa DDCA wameambiwa wafuate sheria za utumishi wa umma ikiwa ni pamoja na uvaaji wa vitambulisho wakiwa maeneo ya kazi. Maelekezo hayo yametolewa na Meneja wa Biashara na utawala wakati wa vikao vya ndani vya wakala.