Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako

the Deputy Minister for Water and Irrigation Hon. Jumaa Aweso (MP)  (the second from right)

">

Mhandisi. Mh. Simon Ngonyani

Mkurugenzi sehemu ya uchimbaji na ujenzi wa mabwawa (DDCA)

Ujumbe wa Afisa Mtendaji Mkuu

Neno la ukaribisho

Kwa heshima, nakukaribisha rasmi kwenye tovuti ya Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA). Lengo kuu la kuanzisha tovuti hii ni kuufanya Wakala kuwajibika na kuwa karibu na wadau wake na jamii kwa ujumla katika suala zima la kutekeleza majukumu yake ya kuwapatia wananchi vyanzo vipya vya maji kwa kuchimba visima, kukarabati na kujenga mabwawa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, mifugo, umwagiliaji, ufugaji wa samaki na viwandani. Tovuti hii itapanua wigo mpana wa wadau kupata habari mbalimbali za DDCA kwa njia ya mtandao kama vile huduma na bidhaa mbalimbali zitolewazo na Waka.. endelea kusoma